Isaiah 3:15

15 aMnamaanisha nini kuwaponda watu wangu
na kuzisaga nyuso za maskini?”
asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote.
Copyright information for SwhNEN